Boedagar Watch is available.
Very high quality.
Price :70,000
Muonekano wa kisasa na wa kuvutia – inakupa class na mvuto wa kipekee
Ana-Digi (Analog + Digital) – unapata urahisi wa kusoma muda kwa njia mbili
Multifunction – ina alarm, stopwatch, kalenda, na taa (value kubwa kwa bei ndogo)
Inafaa kila tukio – kazini, outing, au kuvaa kawaida (casual & smart)
Chaguo bora la zawadi – inaonekana ghali lakini bei rafiki
Dual time – unaweza kufuatilia muda wa maeneo tofauti
Imara na stylish – kamba ya chuma + design ya sporty